Sahau-Neema Cizungu
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Sahau-Neema Cizungu
marafiki zangu kubarikiwa kupitia wimbo huu '
Nimatumaini yangu kuwa wimbo huu utafanyika baraka kwako na jamii inayo kuzunguka
Roho mtakatifu akuhudumie katika jina la yesu kristo
usisahau ku subscribe
like na comment
pia wasiliana nami kupitia #book#now255672555095
nashukuru sana wote mnaozidi kuombea huduma yangu nakunisapoti ki fedha ili kuwafikia maelfu ya watu kwa njia ya mahubiri kupitia nyimbo hizi ,nimekuwa nikipigiwa simu nyingi za ushuhuda wa watu wengi wanao okoka kupitia nyimbo hizi
na wengine wamepokea uponyaji kutoka ma hospitali na vitanda vya magonjwa kupitia nyimbo hizi
pia hata Mungu mbinguni anafurahi tunapo msifu kwa roho na kweli
Nice song that teach about my reality life am blessing more to struggle for next level God keeps you forever ever
Uo
Amen amen thanks again
Nice song,,,keep it up,,my God bless you 🙏 🙏
Nice song 🎵,,,keep it up,,my God bless you mummy 🙏 🙏
Véritable chantre dada,ba kuache
Wimbo mzuri mama Nelly MUNGU abariki kazi yake
nawashukiuru sana kwa comment zenu zinanitia moyo sana na shahuku langu kumtumikia Mungu na kuwahudumia kwa nyimbo mbarikiwe
Barikiwa pia dada angu Neema Cizungu, Mungu akutie nguvu ili utimize kusudi lake kukuleta hapa duniani, I wish one day to appear on one of your gospel songs 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongera sana Dada Neema,ubarikiwe
Ni kweli nilivunjwa moyo ukavuja damu. Nasahau kwa Jina la Yesu
Amen
Nyimbo nzuri sana dada yangu
Nimefuta barikiwa saaana dada Neema
Amina
Salut. Merci cette chanson. Sahau yaliyo pita. Ni kweli mabaya tuliofanya inaweza kutukosesha Salama na Amani miyoyoni mwetu. Namshukuru sana. Mungu aendelee kuwajaza hekima na akili kwa huduma yake. Asante
Mubarikiwe mpaka washangae. Asante sana kwa wimbo mzuri wenye Faraja
Dada Neema ubarikiwe sana kwa huduma yako
Amina
Hey beautiful song yes is hard to forget and forgiving but Jesus like that Amen. South Africa.
Bwana Yesu asifiwe sana nikweli neema dusahawu yaliyo pita yote Mana yambele nimazuri
God bless you my sister.
Mungu akubariki sanaa madam neema cizungu an bishop Ezra kazi yenu ni njema sanaa na Mungu awabariki awainue viwango vya juu zaid kihuduma!
Asante sana
Kazi.nzuri.watumishi.wamungu.songa.mbele.na.yesu
Amen... Barikiwa nyimbo nzuri ina ujumbe mzuri inatia moyo
Hongera dada yangu, video nzuri sana❤👏
asante sana dada kwa nyimbo ina leta faraja ubarikiwe tene
Amem
Amen
*_When feeling Soo empty and nothing makes sense remember Jeremiah and dry bones remember God as good plans for your life_*
Aminaa mutumishi wa Mungu 🙏🙏🙏 hakika umenifariji saaaaaana
MUNGU Akubariki Saana Dada! YESU Awainue Zaidi
Nyimbo zako zimekuwa baraka kwangu, zinatupea moya, Barikiwa ukisambaza injili kupia nyimbo
Courage mamangu
Mungu atusahidie tusahau
Ubarikiwe dada yangu Kwa kazii ya MUNGU
Mubarikiwe wa Zaza wangu Mungu awalinde nabariki Sana yapite yaliyo mbele ni mazuri 🔥🔥🔥🔥🔥
Good job congrats
My super Model 😍😍May Dear God Bless you More sweet sister
Good job
Amen. Mubarikiwe watumishi wa Mungu. Minapenda sana complicité yenu
Yamepita 🙏
Amen Amen
Nafarijika na hizi nyimbo zako napitia kipitindi kigumu na mchumba ameanza madarau kwa kuwa ameenda 🇺🇸 america hivi kiburi kimeanza na mshukuru mungu kwa umbali amenitoa mmi
Wasoliana nami inbox +255672555095
Wow! Kazi njema sana. Utukufu ni kwa Mungu...hongera sana mama Neema Cizungu pamoja na baba Bishop Ezra. Barikiwa.
Congratulations 🔥🔥🔥💝💖🙏🙏🎁🎁🗡️🗡️🇨🇩🇨🇵
Jamani tutafutie basi video ya tumrudie Mungu, its no where to be found
Mungu aendele kuku bariki
Kazi nzuri sana dada yangu, barikiwa tena zaidi 👌❤️
Kali kabisa
Mungu aendeleye kukujaza neema zake
Hongera kwa kazi nzuri, Nakuombea Neema zaidi
Amen
Futa machozi mwangalie yesu
AMEEN KUBWA
Alléluia
Vuta machozi usiliye , wimbo mzuri sana
Ameeeeeeeeeeen🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟🌟🌟mama napenda wimbo zko sana...
Good job, ubarikiwe sana
👏
*_Nice one I'm blessed BARIKIWA tu saana_* Jeremiah 29:11*_
Ameen
Ametenda kweli🙏💯
Kazi nzuri
Asante
Amen mama
Nasema amen kwa sahuti kunwa barikiwa sana 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen
Nice job I appreciate this my sister
MUNGU awabariki saana!
Happy new year 2023
Nice /Amen amen🇧🇮
Ameen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 ubarikiwe
Ahsante kwa faraja kuu. Mungu awajalie mema yote kwa mwaka unao kuja asubuhi
Amen
Amen wimbo ume tikisa mbingu
Amina,sifa kwa Mungu
Ubarikiwe
Yani nawapenda, harafu mnanibariki mno, wimbo ni mtamu mtamu mtamu kolea, mbarikiwe vipenzi vyangu🥰🥰🥰🥰
Mungu akubariki
Haleluyaaaaaaaaa hakika nimeishiwa neno mdomoni kwangu wimbo wenu huu umenitowa sehemu moja kwenda nyingine moyo wangu nimefarijika hakika NIMEFUTA MACHOZI mbarikiwe kwa viwango vya juuuuuuuu zaidi nawapenda watumishi wa Mungu
Amen amen MUNGO akubariki dada yangu
Nice word be bless couple Assumani watching from 🇺🇸
Amen amen
Merci bcp bishop Ass.
Barikiwa Sana from 🇺🇸
Ubarikiwe Sana.
Timing song, God bless you sister,,nimefuta machozi na kunangalia Yesu
Nice job Jesus be blessed 😇
Nice one.... Barikiwa mommy
Amina
Amen,Mubarikiwe
I have been blessing by this song since I lost my brother Philip Hamisi he went to be with Our Lord Jesus Christ in July 2021.
Be blessed Couple Asumani.
Stay strong and holy
Poleni saana
Mubarikiweeee 🙌
Amina
Amen,great.
Kuna wimbo wako ule wa "Msaada" ule org mbona haupo RUclips?????
Upo audio remix
@@ezrafoundation7646 vraiment je suis ravi ku ona ngisi uko na Soutenir da neema Mungu ubariki sana my Pasteur
Safi zaidi amen
,💖💖💖💝🎷💝💝💝💝💖💖😘
God bless you so much my sister
Nyimbo zako zimekuwa baraka kwangu, zinatupea moya, Barikiwa ukisambaza injili kupia nyimbo
Amen
Amen